Social Icons

Pages

Featured Posts

Jumanne, 21 Julai 2015

AUDIO:- TUNAZINDUA FILAMU YA"DAMN TRICKY" AMBAYO NI YA KIPEKEE NA ILIYO NA UBUNIFU AMBAO HAUJAWAHI KUFANYWA ITAKAYOBADILISHA TASWIRA YA TASNIA YA FILAMU TANZANIA.

 "DAMN TRICKY ni filamu itakayozinduliwa Julai 25, mwaka 2015 pale JM HOTEL jijini Mbeya ni filamu ya kipekee ambayo itabadilisha taswira ya tasnia ya filamu Tanzania kutokana na ubunifu wa pekee tuliuonesha  na nina imani italeta undindani mkubwa katika soko la kimataifa". Hii ni kwa mujibu wa Director wa filamu hiyo Kikunizo Montage na baadhi ya wasanii wa filamu hiyo Trice na Charles Monster.

BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA MAHOJIANO BAINA YA WASANII WA FILAMU HIYO, MTAYARISHAJI NA WATANGAZAJI WA KIPINDI CHA BOMBA BASE SHOW WA RADIO BOMBA FM MBEYA 104.0MHz 

Jumatano, 8 Julai 2015

PRODUCER FRAGA:- BAADA YA KUFANYA KAZI NA WASANII WAWILI KUTOKA NIGERIA PAPA NA SELEBOBO HIZI NI NGOMA 10 NILIZOZITENGENEZA NA KUFANYA VIZURI KUANZIA MWEZI JANUARI HADI SASA MWAKA 2015

#‎HII‬ NI ORODHA YA NGOMA NILIZO ‪#‎PRODUCE‬ KUANZIA MWEZI WA 1 MWAKA HUU MPAKA SASA NA ‪#‎ZIMEWAKILISHA‬ VYEMA @uprise_music_empire KWENYE MEDIA ‪#‎TOFAUTI‬ NDANI NA NJE YA ‪#‎TANZANIA‬....
1:- Sijazoea by AT
2:- Mkazurure by Flora Mvungi(H MAMA)
3:- Sandakalawe by Masia
4:- Tujibanebane by Smile
5:- Oga Thomas remix by Papa ft Selebobo
6:- Nimetulia nae by Asia Mjuni
7:- Coconut by Chriss bee ft Fraga
8:- Wanapepeta by Ally Nipishe
9:- Sina Bahati by Masia ft Fraga....
10:- Njoo Ujionjee by Sam Flavour


‪#‎Shukuran‬ za dhati zikufikie wewe mdau wa @uprise_music_empire....wewe unayependa mziki ‪#‎mzurii‬.....tegemea vitu vingi na vizuri kutoka @uprise_music_empire...‪#‎dunianzima_promo‬
@dupy_beatz
@at_original @chrisbeeofficial @smilethegenius @florahmvungi_online_adverts @allynipishe5 @papa9ja @ayoubmasia @samflavour_kipesile @jabirsaleh @uniquekisaka @adamchomvu @millardayo @hassbabytz @djmwanga @globalpublishers @udaku_special @leomysteriotz @deddytz @godfred_goba @bwanamtui @laicahmodel85

Jumatatu, 8 Juni 2015

NEW SONG:- CHRIS BEE FT FRAGA - COCONUT


LYRICS/SHAIRI:-

Artist:- Chris Bee ft Fraga
Song:- Coconut
Studio:- Uprise Music
Producer:- Fraga

Intro
Ale coconut, coconut, coconut
Ale coconut, Ale coconut,
Ale coconut, coconut, coconut

Verse I (Chris Bee)
Nataka twende kisimani kidogo,
Nataka twende ukanione nilivyo,
Nataka twende kisimani kidogo,
Nataka twende ukanione nilivyo,
Nataka niseme, yale ya moyoni,
Nataka niseme, yale yaliyo ndani,
Nataka nisemeee…..
Mi nataka niseme ya moyoni (wowowo)
Nataka nisemeee…..
Mi nataka niseme ya moyoni (wowowo)
I feel to die,
Ifeel to kill my life,
Am not liar,
Because my heart is down yeah

Bridge(Fraga)
My sweet, my heart,
Just say anything you want,
I go give you baby

Chorus (Fraga)

Coconut aaah,
Coconut
Oyoo sweet sweet eheee….
Coconut,
Coconut
Oyoo sweet sweet eheee….


Verse II (Chris Bee)
Ukinipenda usije nibwaga,
Ukininitenda moyo utaniumiza,
Nimefall love,
Kukuacha sitoweza beibe..
(Fraga)
Nataka penzi letu lidumu forever,
Amini sitoongeza kidumu kukuumiza,
Nitakupa vitu adimu sitopunguza,
Thamani yako, umuhimu wako unanituliza,
Ona wachawi wale aaah,
Wachawi wale,
Ona wachawi wale wanawanga tuachane,
Ona wachawi wale aaah,
Wachawi wale,
Ona wachawi wale wanawanga tuachane beibe..

Bridge(Fraga)
My sweet mama,
My heart mamaa
Just say anything you want,
I go give you baby
My sweet mama mama,
My heart, my heart…….
Just say anything you want,
I go give you baby

Chorus (Fraga)
Coconut, Coconut aaah,
Coconut, coconut
Alee sweet sweet eheee….
Coconut, coconut
Coconut, coco, coconut
Coconut, Coconut, coconut
Oyoo sweet sweet eheee….
Co, co co,,,
Iye iyeyeeeeeee
Iyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Jumatano, 3 Juni 2015

MSIKILIZE JACUTE AKIZUNGUMZIA FILAMU YA PRISCA, AMINI AKIZUNGUMZIA VIDEO YA NABAKI NAWE NA CHIBWA AKIZUNGUMZIA COLLABO NA BEENIE MAN.

Kama ulikosa kusikiliza Chumba Cha Sindano katika kipindi cha Bomba Base Show cha redio Bomba FM Mbeya wakati Mwanadada mwenye mvuto anayekuja kwa kasi sasa katika tasnia ya Filamu nchini aitwaye Jack Chaz a,k,a Jacute/Prisca akizungumzia kuingizwa sokoni Juni 10 au 11 Filamu ya Prisca.

Vilevile utamsikia Amini akizungumzia sababu zilizochangia Video ya Nabaki nawe kuchelewa sambamba na Chibwa akizungumzia Collabo yake na Mfalme wa Dancehall/Raggae duniani Beenie Man.


SIKILIZA HAPA CHINI:-


Jumatatu, 25 Mei 2015

WATCH:- FRAGA - KUPATIA{Official HD Music Video}

 
 
Blogger Templates