Social Icons

Pages

Jumanne, 21 Julai 2015

AUDIO:- TUNAZINDUA FILAMU YA"DAMN TRICKY" AMBAYO NI YA KIPEKEE NA ILIYO NA UBUNIFU AMBAO HAUJAWAHI KUFANYWA ITAKAYOBADILISHA TASWIRA YA TASNIA YA FILAMU TANZANIA.

 "DAMN TRICKY ni filamu itakayozinduliwa Julai 25, mwaka 2015 pale JM HOTEL jijini Mbeya ni filamu ya kipekee ambayo itabadilisha taswira ya tasnia ya filamu Tanzania kutokana na ubunifu wa pekee tuliuonesha  na nina imani italeta undindani mkubwa katika soko la kimataifa". Hii ni kwa mujibu wa Director wa filamu hiyo Kikunizo Montage na baadhi ya wasanii wa filamu hiyo Trice na Charles Monster.

BOFYA HAPA CHINI KUSIKILIZA MAHOJIANO BAINA YA WASANII WA FILAMU HIYO, MTAYARISHAJI NA WATANGAZAJI WA KIPINDI CHA BOMBA BASE SHOW WA RADIO BOMBA FM MBEYA 104.0MHz 

Jumatano, 8 Julai 2015

PRODUCER FRAGA:- BAADA YA KUFANYA KAZI NA WASANII WAWILI KUTOKA NIGERIA PAPA NA SELEBOBO HIZI NI NGOMA 10 NILIZOZITENGENEZA NA KUFANYA VIZURI KUANZIA MWEZI JANUARI HADI SASA MWAKA 2015

#‎HII‬ NI ORODHA YA NGOMA NILIZO ‪#‎PRODUCE‬ KUANZIA MWEZI WA 1 MWAKA HUU MPAKA SASA NA ‪#‎ZIMEWAKILISHA‬ VYEMA @uprise_music_empire KWENYE MEDIA ‪#‎TOFAUTI‬ NDANI NA NJE YA ‪#‎TANZANIA‬....
1:- Sijazoea by AT
2:- Mkazurure by Flora Mvungi(H MAMA)
3:- Sandakalawe by Masia
4:- Tujibanebane by Smile
5:- Oga Thomas remix by Papa ft Selebobo
6:- Nimetulia nae by Asia Mjuni
7:- Coconut by Chriss bee ft Fraga
8:- Wanapepeta by Ally Nipishe
9:- Sina Bahati by Masia ft Fraga....
10:- Njoo Ujionjee by Sam Flavour


‪#‎Shukuran‬ za dhati zikufikie wewe mdau wa @uprise_music_empire....wewe unayependa mziki ‪#‎mzurii‬.....tegemea vitu vingi na vizuri kutoka @uprise_music_empire...‪#‎dunianzima_promo‬
@dupy_beatz
@at_original @chrisbeeofficial @smilethegenius @florahmvungi_online_adverts @allynipishe5 @papa9ja @ayoubmasia @samflavour_kipesile @jabirsaleh @uniquekisaka @adamchomvu @millardayo @hassbabytz @djmwanga @globalpublishers @udaku_special @leomysteriotz @deddytz @godfred_goba @bwanamtui @laicahmodel85

WATCH:- FRAGA - KUPATIA{Official HD Music Video}

 
 
Blogger Templates